Afariki dunia baada ya kugongwa gari, chanzo mwendokasi
Shinyanga. Jeshi la polisi mkoani Shinyanga linachunguza tukio la kugongwa na gari mkazi wa Mtaa wa Sido, Kata ya Ibinzamata Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Magembe Mabula Shija (56) na kufariki papo hapo kisha dereva wa gari hilo kukimbia.Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumanne Aprili 08, 2025 Kamanda wa Jeshi la Polisi Shinyanga, Janeth…