Lissu ataja mambo sita ya kurekebishwa ili washiriki uchaguzi
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ametaja mambo sita ambayo yakifanyiwa kazi chama hicho kitashiriki Uchaguzi Mkuu baadaye mwaka huu. Lissu ametaja mambo hayo leo Jumanne, Aprili 8, 2025 wilayani Namtumbo, mkoani Ruvuma kwenye mwendelezo wa ziara ya kutoa elimu kwa wananchi kuhusu Operesheni ya ‘No Reforms, No…