KUWA NA MWONGOZO WA UFASILI WA SHERIA KUTASAIDIA KUWA NA MFANANO WA UFASILI NA KUPUNGUZA MIGONGANO

    Na: Calvin Gwabara – Mwanza Kukamilika kwa Mwongozo wa Ufasili wa Sheria, Istilahi za Kisheria pamoja na  ufasili wa sheria kuu 446 za Tanzania kutasaidia jamii kuzielewa, kuzifuata na kupunguza kufanya makosa yanayotokana na kutojua kwao sheria sambamba na utoaji wa haki. Mwandishi Mkuu wa Sheria Bwana Onorius Njole wakati akizindua kikosi kazi…

Read More

MWENGE WA UHURU WAZINDUA BOTI YA DORIA NA UKAGUZI BAHARINI BAGAMOYO ITAKAYOIMARISHA USIMAMIZI WA RASLIMALI ZA UVUVI

  Na Mwamvua Mwinyi, Bagamoyo April 8, 2025 Mwenge wa Uhuru umezindua mradi wa boti ya doria na ukaguzi baharini katika soko la samaki, wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani, utakaodhibiti upotevu wa mapato yatokanayo na uvuvi, kuzuia uvuvi haramu na biashara za magendo zinazofanyika baharini. Aidha, mradi huu ambao umegharimu milioni 40.603 pia utaimarisha usimamizi wa…

Read More

Aucho apishana na Azam FC

Kiungo wa Yanga, Khalid Aucho atakuwa nje ya uwanja kwa takriban wiki tatu baada ya kuumia nyama za paja. Jana, wakati Yanga ikishinda nyumbani kwa bao 1-0 dhidi ya Coastal Union, Aucho alilazimika kucheza mechi hiyo kwa dakika 45 kisha akaomba kutoka baada kusikia maumivu  na nafasi yake kuchukuliwa na Mudathir Yahya. Leo, kiungo huyo…

Read More

Mvua za masika zaacha maumivu mikoa mitatu

Dar/mikoani. Mvua za masika zimeendelea kuleta maumivu kwa watumiaji wa barabara katika maeneo mbalimbali nchini, huku baadhi ya maeneo yakishindwa kufikika kutokana na uharibifu. Hali hiyo imesababisha baadhi ya wananchi kuilaumu Serikali, wakidai licha ya majanga hayo kujirudia kila mwaka, hakuna mpango endelevu wa kudhibiti madhara hayo. Hali hii inajitokeza ikiwa ni wiki ya pili…

Read More

Tanzania, Angola kuimarisha uchumi, usalama

Angola. Tanzania na Angola wametiliana saini mikataba miwili yenye lengo la kuimarisha uhusiano baina ya nchi mbili hizo. Miongoni mwa mikataba hiyo ni pamoja na wa rasimu ya mkataba wa ushirikiano katika sekta ya ulinzi. Akizungumza na waandishi wa habari Ikulu jijini Luanda nchini Angola, leo Jumanne Aprili 8, 2025, Waziri wa Ulinzi na Jeshin…

Read More