Mchome azidi kuichoma Chadema kwa msajili
Dar es Salaam. Sakata la Lembrus Mchome, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Mwanga, limechukua sura mpya baada ya kada huyo kuiandikia tena Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, akitaka uongozi wa juu wa chama hicho kubatilishwa. Barua ya Mchome kwenda kwa msajili inakuwa ya pili baada ya kuwasilisha barua…