Hii inawahusu wanaochoma dawa za mbu vyumbani

Dar es Salaam. Wewe ni miongoni mwa wale wanaochoma dawa ya mbu na muda huo huo kupanda kitandani kulala yenyewe ikiendelea kutoa moshi? Kama ndivyo, basi unajiweka katika hatari ya kupata magonjwa ya pumu, kikohozi cha mara kwa mara na changamoto ya aleji kwa watoto. Inashauriwa unapochoma dawa hiyo, usubiri kwa saa moja na nusu…

Read More

Kaseja mabosi wake wamemuelewa | Mwanaspoti

UONGOZI wa Kagera Sugar ya kocha Juma Kaseja, umesisitiza kwamba una imani na staa huyo aliyepewa timu hivikaribuni na tena walichelewa kumpa kazi hiyo. Kaseja ambaye alianza kazi mwanzoni mwa mwezi machi,Baada ya kuondoka kwa kocha Melis Medo aliyetimkia zake Singida Black Stars. Kabla ya uwepo wa kocha huyo,Kagera ilikuwa na rekodi ya kucheza mechi…

Read More

TAASISI YA MAMA ONGEA NA MWANAO KUSHIRIKI MAANDALIZI YA ‘HAFLA’ MTOKO WA PASAKA KULIOMBEA TAIFA JIJINI DAR

Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao nchini imetangaza kushiriki maandalizi ya Mtoko wa Pasaka utakaofanyika Aprili 20,2025 katika ukumbi wa Super Dome, Masaki jijini  Dar es Salaam, ikilenga kuwaunganisha Watanzania kupitia nyimbo, maombi, na kutoa misaada kwa kina mama wajawazito Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo katika Hoteli ya Serena jijini Dar es…

Read More

Kibano chaja kwa watumiaji majina feki mtandao wa X

Dar es Salaam. Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa X (zamani Twitter) wanaotumia akaunti bandia zenye majina ya watu maarufu, maarufu ‘parody accounts’, kuanzia Aprili 10, 2025 watalazimika kujitambulisha wazi ili kuepuka kuchukuliwa hatua kali. Hatua hiyo imechukuliwa na kampuni ya X inayomilikiwa na tajiri wa dunia, Elon Musk, ikiwa ni sehemu ya kuimarisha sheria…

Read More

MBUNGE JOSEPH MHAGAMA AONGOZA MSAFARA WA TANZANIA MKUTANO WA 150 WA MABUNGE DUNIANI UZBEKISTAN

Mbunge wa Jimbo la Madaba Joseph Kizito Mhagama, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Wabunge Wawakilishi wa umoja wa Mabunge Duniani kutoka Tanzania, ameongoza msafara wa Wabunge wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa 150 wa Mabunge Duniani (IPU) unaoendelea mjini Kashkenti, Uzbekistan, kuanzia Aprili 5 mpaka 9, 2025. Katika mkutano huu, Mhagama ameonyesha…

Read More

KWA WIKI MOJA NATENGENEZA HADI SH,700,000!

Kwa wiki moja natengeneza hadi Sh700,000 By ngilishonews.com Naitwa Elisha, ni mkazi wa Tanga ambaye ajishughulisha na biashara ya kuuza vyombo vya ndani. Tangu mwaka 2016 nimefanya hii biashara kwa miaka mingi ila  maendeleo hamna zaidi ya kulipa kodi pamoja na kupata chakula tu. Niliweza vumilia hali hiyo kwa muda wa miaka 2 hadi ikafikia…

Read More