Malisa atinga kortini kupinga Samia kuwa mgombea urais
Moshi. Aliyekuwa kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Godfrey Malisa, amewasilisha maombi kortini akiomba uanachama wake ulindwe, ili afungue maombi ya kupinga mchakato wa kumteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais. Dk Malisa amewasilisha ombi hilo akiomba mahakama itoe zuio la muda kwa lengo la kulinda hadhi ya uanachama wake, wakati maombi yake…