TAFICO YAZINDUA BARAZA LA WAFANYAKAZI
Baraza la Wafanyakazi la Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO) limekutana na kufanya kikao kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali yatakayosaidia kurahisisha utendaji kazi na kuboresha utoaji wa huduma mbalimbali. Kikao hicho kimefanyika katika ofisi za Shirika hilo zilizopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa baraza la wafanyakazi pamoja na kukabidhi…