DAWA YA MUME MWENYE GUBU NDANI YA NYUMBA!
Dawa ya mume mwenye gubu ndani ya nyumba By Ngilisho TvĀ Ndoa ama mahusiano bila ya mapenzi huwa si hayaendi mbali kwani mapenzi huwa kiini cha umoja na mshikamano. Wapenzi kwenye mahusiano hupaswa kuwajibika na kuelewana kwa wakati wowote ili kuwezesha mahusiano kuwa yenye matamanio. Tulikuwa tumefunga ndoa na mume wangu ambapo mwaka mmoja ulikuwa…