Utafiti wabaini masalia ya dawa za ARV kwenye kuku, nguruwe
Dar es Salaam. Wakati utafiti ukibaini uwepo wa masalia ya dawa za kufubaza Virusi vya Ukimwi (ARV) kwenye nyama na damu za kuku wa kisasa, nguruwe na vyakula vya mifugo, vyama vya wafugaji vimeitaka Serikali kuchukua hatua, huku wataalamu wa dawa wakitoa angalizo. Utafiti huo umefanywa na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi…