MZUMBE SEKONDARI ALUMNI WATOA MSAADA WA KOMPYUTA KUBORESHA, TEKNOLOJIA KATIKA SHULE YA SEKONDARI MZUMBE

Na Mwandishi wetu Mzumbe Sekondari Alumni wametoa msaada wa komputa shule ya Mzumbe sekondari ikiwa ni jitahada za kuboresha teknolojia ya mawasiliano na kuboresha mbinu za kujifunza na kuendelea kusaidia ufundishaji kuwa bora zaidi. Mwenyekiti wa Umoja wa wanafunzi waliosoma Mzumbe Sekondari (Mzumbe alumni) Edward Talawa amesema hayo wakati wa kukabidhi kompyuta hizo kwa Mkuu…

Read More

IMANI POTOFU ZINAVYO KWAMISHA KUFIKIWA USAWA WA KIJINSIA

Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi maalumu Dkt. Dorothy Gwajima. Kulia ni mwandishi wa Makala hii akifanya mahojiano kuhusu usawa wa kijinsia. Kushoto ni mwandishi wa Makala hii akizungumza na Jeneroza Tunati. ………………… Na Daniel Limbe,Chato  “MAENDELEO hayawezekani bila mabadiliko ya kifikra, na wale ambao hawawezi kubadilika namna wanayofikiri hawawezi kubadili kitu…

Read More

Wajumbe Kongamano la Uongozi la Afrika Watoa Wito Kwa Mtazamo Mpya katika Utekelezaji wa SDGs

Katika Kongamano la 8 linaloendelea la Uongozi la Afrika (ALF), viongozi hao wamehimiza matumizi ya fursa hiyo na kuweka mazingira mapya yatakayowezesha ‘Afrika Kwanza’ katika juhudi za kutimiza Malengo Endelevu ya Maendeleo (SDGs). Wito huo ulitolewa siku ya Jumatatu katika kongamano la ALF lililofanyika Kampala, nchini Uganda na lililoandaliwa na Taasisi ya Uongozi wa Afrika…

Read More

Demokrasia ya dijiti kwenye njia panda. Kuchukua muhimu kutoka kwa hakikiCon2025 – maswala ya ulimwengu

Maoni Na Carolina Vega, Chibuzor Nwabueze Jumatatu, Aprili 07, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Aprili 07 (IPS) – Katika ulimwengu unaokua wa dijiti, mazoea ya kidemokrasia yanajitokeza ili kujumuisha aina mpya za ushiriki. Demokrasia ya dijiti – matumizi ya teknolojia ya kuongeza hatua za raia, ujenzi wa harakati na ufikiaji wa habari – imekuwa…

Read More