Matarajio ya wadau ziara ya Rais Samia Angola
Dar es Salaam. Kuimarisha ushirikiano, kukuza biashara, mustakabali wa kinachoendelea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ni miongoni mwa mambo yanayotarajiwa katika ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini Angola. Kwa mujibu wa wadau tofauti, ziara hiyo mbali na kukuza uwekezaji na biashara baina ya mataifa hayo mawili, pia, inatarajiwa kutengeneza msingi wa mpango wa…