MAKAMU WA RAIS MGENI RASMI UTOAJI WA TUZO ZA UANDISHI BUNIFU
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha Utoaji wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu ambayo itafanyika Aprili 13,2025 kwenye ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam.. Akizungumza na waandishi wa habari…