WATU 30 WAFA MAJI KWA MAFURIKO,NYUMBA ZAIDI YA 600 ZAZAMA KWENYE MAJI ,KIBAO WAKOSA MAKAZI!
By Ngilisho Tv Watu thelathini wamefariki dunia katika mafuriko yaliyokumba Kinshasa, mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mvua kubwa iliyonyesha mwishoni mwa juma imeharibu makazi na miundo mbinu za mitaa ya mji huo. Mto Ndijili unaopita katika mji huo wenye wakazi karibu milioni kumi na saba, ulivunja kingo zake Ijumaa usiku na kuathiri…