
Rais Samia awapa magari ya kisasa Polisi, IGP Wambura asema…
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania (IGP) Camillus Wambura amemshukuru Amri Jeshi Mkuu, Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutoa magari ya mapya na ya kisasa kwa ajili ya matumizi ya operesheni mbalimbali za jeshi hilo. IGP Wambura amesema hayo leo Jumatatu, Aprili 28,2025 jijini Dar es Salaam alipofanya ukaguzi wa magari hayo ambapo amesema…