Vyama vya ushirika vyakemea upotoshaji wa stakabadhi ghalani
Mtwara. Wenyeviti wa vyama vikuu vya ushirika vya Tamcu, Mamcu, na Tanecu wamevitaka vyama vya siasa vya upinzani kuacha upotoshaji kuhusu mfumo wa stakabadhi ghalani, wakisema kuwa madai kwamba mfumo huo hauna tija kwa wakulima ni potofu. Wenyeviti hao wametoa kauli hiyo leo Aprili 6, 2025 mbela ya waandishi wa habari wakisisitiza kwamba vyama vya…