Rais Samia atunukiwa tuzo mwanamke kinara 2025
Mwanza. Rais Samia Suluhu Hassan ametunukiwa tuzo ya heshima ya mwanamke kinara 2025, huku akishukuru na kuahidi kuendelea kufanya kazi kwa masilahi ya Taifa. Tuzo hiyo ilitolewa juzi usiku mkoani Mwanza na taasisi ya Mwanamke Kinara iliyoandaa tuzo za wanawake waliofanya vizuri katika sekta mbalimbali Kanda za Ziwa na Magharibi, huku mgeni rasmi akiwa Mkurugenzi…