Mwanjala arejea MREFA akizitaja Prisons, KenGold na Mbeya City
Elias Mwanjala amerejea kukiongoza Chama Cha Soka Mbeya (MREFA) huku akizitaja Tanzania Prisons, KenGold na Mbeya City akisisitiza lazima mpira uchezwe upya. Mwanjala aliwahi kuongoza chama hicho kwa miaka nane kuanzia 2012 hadi 2020 kabla ya kufungiwa kujihusisha na mpira wa miguu ambapo kifungo hicho kilimalizika 2023 na leo Aprili 6, 2025 amechaguliwa nafasi ya…