Kuitwa tena Taifa Stars hawa kazi ipo
TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ iliyoshiriki fainali za mataifa ya Africa (Afcon) za Ivory Coast ilikuwa na wachezaji wanaocheza soka la kulipwa katika mataifa mbalimbali Africa, Amerika, Asia na Ulaya katika ligi mbalimbali kubwa na ndogo. Katika wachezaji hao ambao wengi wao walikuwa ni wageni machoni mwa Watanzania, walisubiriwa kuona watafanya nini katika…