RAHABU FREDY WA AZAM MEDIA AFARIKI DUNIA

  *** Mwandishi wa habari wa siku nyingi, Rahabu Fredy aliyekuwa Mhariri Mkuu Msaidizi wa Idara ya Habari na Matukio katika kituo cha habari cha Azam Media, amefariki dunia leo April 5, 2025 akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa chanzo cha karibu, Rahabu aliyekuwa mke wa aliyekuwa…

Read More

Mbulu yatumia Sh204 bilioni kwa maendeleo

Mbulu. Wilaya ya Mbulu imetumia Sh204 bilioni kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ya elimu, afya na maji, katika kipindi cha miaka minne ya utawala wa Serikali ya awamu ya sita. Mkuu wa Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara, Michael Semindu, ameyasema hayo leo Aprili 5, 2025 wakati akisoma taarifa ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi…

Read More

Kaya 62 zakosa makazi, 300 zazingirwa na maji Moshi

Moshi. Kaya zaidi ya 300 katika Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, zimezingirwa na maji, huku 62 zikiachwa bila makazi  kutokana na mafuriko yaliyotokana na mvua zinazoendelea kunyesha mkoani humo. Mbali na makazi hayo kuharibiwa, mafuriko hayo pia yameathiri ekari zaidi ya 2,000 za mashamba ya mazao mbalimbali, miundombinu ya barabara pamoja na shule kadhaa kuharibiwa…

Read More

MRADI WA KUFUA UMEME WA JNHPP WAKAMILIKA RASMI: DKT BITEKO

…………….   📌Asema ni ndoto ya watanzania,awataka wategemee umeme wa uhakika   📌Asisitiza kazi iliyobaki ni kuimarisha miundombinu ya kuwafikishia wananchi umeme   📌Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Misri kuuzindua rasmi   Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kutegemea kupata umeme wa uhakika baada ya…

Read More

Yalipo matumaini ya kuimarika kwa Shilingi

Dar es Saalam. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeeleza kuwa Shilingi ya Tanzania inatarajia kuimarika ifikapo mwishoni mwa mwaka huu kutokana na ongezeko la mapato ya fedha za kigeni linalotarajiwa kwa siku zijazo. Katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita viwango vya kubadilisha fedha Shilingi ya Tanzania na Dola ya Marekani vimebadilika kutoka Sh2,374.7 Januari 02,…

Read More

MAMIA WAJITOKEZA KAMBI YA MACHO BURE JIJINI TANGA.

***** *Wampongeza Mbunge Ummy Mwalimu kwa kushawishi kambi hii kufanyika Tanga Na Mwandishi wetu, Tanga Mamia ya wakazi wa Jiji la Tanga leo tarehe 5/04/2025 wamejitokeza kwa wingi kupata huduma za matibabu ya macho katika Kambi ya Matibabu ya Macho bure inayoendeshwa na Taasisi ya Billal Muslim Mission of Tanzania.  Wakiongea katika kambi hiyo Mbunge…

Read More

Rais Dkt. Samia Azindua Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Nyumba za Makazi ya Majaji Mkoani Dodoma

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Nyumba za Makazi ya Majaji Mkoani Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamis Juma mfano wa ufunguo mara baada…

Read More

Mali za Jaji Mfalila zilivyozua mgogoro wa usimamizi mahakamani

Dar  es Salaam/Arusha. Suala la usimamizi wa mali za Jaji mstaafu wa Mahakama ya Rufaa nchini, Lameck Mfalila, anayesumbuliwa na maradhi, limeibua mgogoro baada ya kujitokeza wanawake wawili kila mmoja akidai kuwa ndiye mkewe halali anayestahili kuwa msimamizi. Awali mwanamke mmoja anayejitambulisha kwa jina la Lenna Mfalila alifungua shauri la maombi Mahakama ya Hakimu Mkazi,…

Read More