Maisha Rahisi Cheza Sticky 777 Kasino ya Mtandaoni

*Sloti ya Sticky 777 MOJA kati ya biashara nzuri na yenye mtaji mdogo ni uuzaji wa matunda, huhitaji kuwa na mamilioni ufanye uwekezaji bali unahitaji akili tu ya namna ya kuweka dau lako. Meridianbet Kasino ya Mtandaoni kuna huu mchezo wa Matunda unaitwa Sticky 777. Alama kubwa zaidi kwenye sloti hii ya kasino ya mtandaoni…

Read More

YAKUSANYA TRILIONI 7.53 JANUARI HADI MACHI 2025

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imefanikiwa kukusanya Sh. Trilioni 7.53 katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2024/25, sawa na ufanisi wa asilimia 101.32 ya lengo la kukusanya Shilingi Trilioni 7.43. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Yusuph Juma Mwenda imeeleza kuwa ufanisi wa makusanyo…

Read More

Siri ya mafanikio ya kaseja kagera

APRILI 4, mwaka huu, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Juma Kaseja alitimiza mwezi mmoja tangu akabidhiwe timu hiyo akichukua mikoba ya Melis Medo aliyetimkia Singida Black Stars. Katika kipindi hicho, Kaseja ameiongoza Kagera kwenye mechi nne za mashindano tofauti, mbili za Ligi Kuu Bara na zingine Kombe za Shirikisho (FA) akishinda zote na kuifanya kuwa…

Read More

Hekaheka miaka mitano ya ubunge wa Mdee wenzake 18

Dodoma. Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaelekea ukingoni, likitarajiwa kuvunjwa Juni, 2025. Kila mbunge ana yake aliyoyapitia bungeni. Kwa wabunge wa viti maalumu 19 waliokuwa wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wanahitimisha uhai wa Bunge wakiacha historia ya aina yake. Mwaka 2020, baada ya uchaguzi mkuu, Chadema kilipinga matokeo…

Read More