Madiwani waonywa kuchafuana kuelekea uchaguzi mkuu

Mbeya. Ikiwa imesalia miezi kadhaa kuelekea uchaguzi Mkuu Oktoba 2025, madiwani jijini Mbeya wametahadharishwa kuepuka kuchafuana na badala yake washikamane na kushirikiana kutatua changamoto katika maeneo yao. Mstahiki Meya wa Jiji la Mbeya, Dourmohamed Issa amesema hayo leo Jumatano Aprili 30, 2025 alipokuwa akifunga kikao cha Baraza la Madiwani cha kupitia taarifa za kamati mbalimbali…

Read More

Chadema yamkomalia Muliro, wamtaja Samia

Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeendelea kuvutana na Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, huku kila upande ukimtuhumu mwenzake kwa kutotekeleza majukumu yake kwa kuzingatia sheria. Katibu Mkuu Chadema, John Mnyika akiwaonyesha waandishi wa habari,wanachama wa chama hicho waliokamatwa na polisi na kwenda kutelekezwa katika pori la Pande…

Read More

Mechi ya Yanga, JKU ulinzi mkali Gombani

SAA chache kabla ya Yanga kuvaana na JKU kesho Alhamisi katika pambano la fainali ya Kombe la Muungano,  amishna Mwandamizi wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja, Abdallah Hussein Mussa amesema ulinzi utaimarishwa katika mechi hiyo italayopigwa kwenye Uwanja wa Gombani uliopo visiwani utakaopigwa kuanzia saa 1:15 usiku. Yanga iliingia fainali kwa kuifunga Zimamoto…

Read More

CCM ilivyopigana kikumbo na upinzani Kusini

Dar es Salaam. Mwaka 2025, Tanzania inakaribia tena kuingia kwenye uchaguzi mkuu wa kidemokrasia, wananchi watawachagua Rais, wabunge na madiwani watakaoongoza kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Uchaguzi huu unatarajiwa kufanyika mwezi Oktoba, huku maandalizi yakiendelea kushika kasi miongoni mwa vyama vya siasa. Katika kipindi hiki cha maandalizi, Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeimarisha juhudi zake…

Read More

Chadema yakomaa na Muliro, mageuzi

Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeendelea kuvutana na Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, huku kila upande ukimtuhumu mwenzake kwa kutotekeleza majukumu yake kwa kuzingatia sheria. Tangu kukamatwa kwa mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Tundu Lissu akiwa anahutubia  Kampeni ya No reforms, no election, Mbinga mkoani Ruvuma na…

Read More

Chadema yamvua uanachama Mrema, mwenywe ajibu

Dar es Salaam. Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), tawi la Bonyokwa likitangaza kumvua uanachama John Mrema, kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo ukaidi, mwenyewe amekana kufukuzwa uanachama. Tuhuma zingine anazodaiwa Mrema aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa chama hicho, sababu nyingine zilizotajwa ni pamoja na dharau dhidi ya mamlaka, kutoheshimu…

Read More

AG awajibu wanaokosoa utaratibu uliotumika kesi ya Lissu

Dodoma. Bunge limepitisha bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka 2025/26 huku Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Hamza Johari amesema utaratibu wa kusikiliza kesi ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu kwa njia ya mtandao ulifanywa kwa mujibu wa kisheria baada ya kufanya tathmini. Aprili 24,2025, Lissu alipinga kesi yake ya kuchapisha taarifa za…

Read More