
Dk Mpango: Afrika iimarishe umoja kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi
Unguja. Nchi za Afrika zimesisitizwa kuimarisha umoja ili kusukuma mbele ajenda ya pamoja katika kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi. Pamoja na kuimarisha uwezo wa kutafuta rasilimali za ndani, pia zimetakiwa kuacha kutegemea ufadhili kutoka mataifa makubwa, huku zikiendelea kuathiriwa na athari za mabadiliko hayo. Hayo yameelezwa leo Jumatatu Aprili 28, 2025 katika mkutano…