Chadema hapajapoa, Lissu atengua uteuzi wa Catherine Ruge

Dar es Salaam. Chadema bado hapajapoa ndivyo unavyoweza kueleza. Hii ni baada ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu kutengua uteuzi wa Catherine Ruge aliyekuwa Mjumbe wa Sekretarieti na Mtaalamu wa Dawati la Jinsia. Ndani ya siku tatu wajumbe wawili wa sekretarieti uteuzi wao umetenguliwa kwa nyakati tofauti na mamlaka tofauti za uteuzi wao. Aprili 2,2025…

Read More

Ujenzi wa SGR Isaka-Mwanza wafikia asilimia 63

Shinyanga. Meneja wa Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) LOT 5, kutoka Isaka hadi Mwanza, Mhandisi Christopher Kalisti, amesema kuwa kazi kubwa katika ujenzi wa mradi huo imekamilika, huku kazi nyingine zikifanyika kwa kasi. Hayo yamebainishwa jana, Aprili 4, 2025, wakati wa ziara ya kutembelea mradi unaotekelezwa na kampuni za ujenzi kutoka China,…

Read More

Dk Biteko: Tuvunje ukimya kumkomboa mwanamke kiuchumi

Dar es Salaam. Naibu Waziri Mkuu, Dk Doto Biteko amesema licha ya jitihada za kuwainua wanawake kiuchumi kufanikiwa, bado kuna changamoto zinazohitajika kutatuliwa, ili kufungua fursa zaidi kwao. Kiongozi huyo, amezitaja changamoto hizo kuwa ni ubaguzi na ukatili wa kijinsia hususan maeneo ya vijijini, uelewa mdogo wa masuala ya jinsia, changamoto za kifamilia, mila na…

Read More

Yanga yatua kwa kiungo Kenya Police

YANGA imeanza mapema harakati za kuboresha kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao huku ikipiga hodi katika Ligi Kuu Kenya kwenye kikosi cha Kenya Police FC. Yanga ambayo hadi sasa imetajwa kuwa katika harakati za kumsajili Jonathan Sowah kutoka Singida Black Stars na Jibril Sillah wa Azam FC, pia imeonekana kuvutiwa na kiungo mshambuliaji Mohammed…

Read More