Ripoti maalumu: Mapendekezo kuondoa mvutano wa malipo NHIF -2
Dar es Salaam. Baadhi ya vituo vya afya vikilalamika kucheleweshewa malipo na mengine kukataliwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), hivyo kuathiri ukwasi na kushindwa kujiendesha, wadau wanapendekeza namna ya kushughulikia changamoto zilizopo. Kwa mujibu wa wadau waliozungumza na Mwananchi kuna haja ya kupitia sababu za kukataliwa madai na NHIF itoe mrejesho…