CCM YAMPA HEKO RAIS SAMIA KUHIMIZA WITO WA AMANI
***** Na Mwandishi wetu, Zanzibar Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeipongeza hotuba ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan aliyetoa wito muhimu unaowataka watanzania wote kulinda na kutunza Amani ya Taifa lao. Vile vile CCM kimewashauri watanzania kuanza na kutafakari hatimaye kutekeleza ushauri huo uliotolewa na Mkuu wa nchi na kuufanyia kazi. Pongezi hizo zimetolewa na Katibu…