SERIKALI YAKUSUDIA KURATIBU GAZETI LA SERIKALI KIDIJITALI
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Juma Mkomi akizungumza wakati akifungua kikao kazi kilichowashirikisha wadau wa Gazeti la Serikali kilicholenga kupata maoni kuhusu kusanifu na kujenga Mfumo wa Kidijitali wa Maktaba (POPSM e-Library) kilichofanyika jijini Dodoma. Na. Mwandishi Wetu-Dodoma Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Juma Mkomi amesema katika kutekeleza…