MAAFISA HABARI WA SERIKALI WAPEWA SOMO
***** Na Ester Maile Dodoma Maafisa Habari wa Serikali watakiwa kutambua ujio wa Kikao Kazi ni kwa ajili ya kufundwa na kuzingatia yote yatakayoelekezwa na kukumbushwa juu ya utekelezaji wa majukumu yao. ameyanabaisha hayo katibu wa habari,utamaduni, sanaa na michezo Gerson Msigwa wakati wa ufunguzi wa Kikao Kazi cha 20 cha Maafisa Habari wa Serikali…