BASI LA MVUNGI LAUWA WATU SABA KWA AJALI TAZAMA MAJINA YAO ,42 WAJERUHIWA VIBAYA!!
By Ngilisho-MWANGA Watu saba wamefariki dunia na wengine 42 wamejeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Mvungi lenye namba za usajili T.222 DNL, aina ya Yutong, kupinduka na kutumbukia bondeni katika kijiji cha Mamba Msangeni, wilayani Mwanga, saa 12 asubuhi Aprili 3, 2025. Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kilimanjaro,…