April 2025
SHINDANO LA CRDB COASTAL ZONE KUTIMU KIVUMBI KESHO LUGALO GOFU
ZAIDI Ya Wachezaji 120 wanatarajiwa kushiriki shindano la siku moja la CRDB Coastal Zone Inter Club lenye lengo la kujenga ushirikiano mwa klabu za gofu za ukanda huo Nahodha Msaidizi wa klabu ya gofu ya jeshi la wananchi JWTZ ya Lugalo ya jijini Dar es salaam Kapteni Samwel Mosha amesema kwenye shindano hilo watacheza Mchezaji…
Mabomu kwa Uzuri, kutoka Gaza hadi Ukraine – Maswala ya Ulimwenguni
“Kusudi lilikuwa kubadilisha nishati hasi ya uharibifu kuwa nishati chanya ya uumbaji,” alisema mbuni wa Kiukreni Stanislav Drokin, ambaye hubadilisha vito vya vito kutoka kwa studio yake ya nyumbani, ya kazi huko Kharkiv iliyokumbwa na vita. Kama ulimwengu unaashiria Siku ya Kimataifa kwa Uhamasishaji wa Mgodiinazingatiwa kila mwaka mnamo Aprili 4, mipango inayoendelea ya kudhoofisha…
Ijumaa ya leo Itakuwa Murua Ukibashiri na Meridianbet
JE unajua kuwa siku yako ya leo itaanza vizuri endapo utasuka jamvi lako na Meridianbet?. Timu kibao zipo uwanjani kusaka pointi 3 za kujiweka sawa, na wewe tafuta pesa uamke vizuri hapo kesho. Ligi kuu ya Ujerumani, BUNDESLIGA inatarajiwa kuendelea hii leo kwa mchezo mmoja ambapo vinara wa ligi hiyo FC Bayern Munich watakuwa ugenini…
TUMEJIPANGA KUTEKELEZA BIMA YA AFYA KWA WOTE- NHIF
Na Mwandishi Wetu, Songea MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umesema umekamilisha maandalizi ya kuanza kutekeleza Bima ya Afya kwa Wote ambapo imewaomba wananchi kuendelea kujiunga na vifurushi ili kuwa na uhakika wa kupata matibabu wakati wowote. Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi wa Huduma za Wanachama Bw. Hipoliti Lello wakati akiwasilisha mada juu…
WAZIRI KOMBO AWASILISHA TAARIFA YA WIZARA KATIKA KAMATI YA NUU
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza Menejimenti ya Wizara katika kikao na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU), kilichofanyika jijini Dodoma kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali yanayohusu utendaji wa Wizara na hali ya ushirikiano wa kidiplomasia…
RIBA YA BENKI KUU KUENDELEA KUWA ASILIMIA 6
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV KAMATI ya Sera ya Fedha ya Benki Kuu ya Tanzania imeamua Riba ya Benki Kuu (CBR) kuendelea kuwa asilimia 6 mara baada kufanya tathmini ya mwenendo wa uchumi, na mwelekeo wake katika robo ya pili ya mwaka 2025. Kwa muktadha huu, Benki Kuu itaendelea kutekeleza Sera ya fedha ili kuhakikisha…
Tanzania yajipanga na ushuru mpya wa Trump
Dar es Salaam. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imechukua hatua ya kulinda ukuaji wa uchumi ikiwa ni siku mbili baada ya Rais Marekani, Donald Trump kutangaza hali ya dharura ya kiuchumi nchini mwake iliyokwenda sambamba kuwekwa kwa ushuru wa angalau asilimia 10 kwa kila bidhaa inayoingia nchini humo. Katika tangazo lake Trump amesema kuanzia Aprili…
Lissu aichambua Kilwa, akoleza darasa la ‘No Reform, No Election’
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ameeleza namna Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi ilivyokuwa ikitawaliwa na vyama vya upinzani, kabla ya wagombea kuanza kuenguliwa. Lissu amesema enguaengua hiyo ndiyo moja ya sababu kuu za chama hicho kuzuia uchaguzi, huku akisisitiza kama hakutakuwa na mabadiliko kwenye mifumo ya uchaguzi hakuna uchaguzi yaani “No Reform,…