Askari wa uhifadhi watakiwa kuepuka migogoro na wananchi
Mwanza. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Dunstan Kitandula amewaagiza askari wa Jeshi la Uhifadhi kuzingatia sera ya ujirani mwema wanapotekeleza majukumu yao, kuepuka migogoro na wananchi wanaoishi jirani na maeneo ya hifadhi. Akizindua Bodi ya Magavana ya Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi jijini Mwanza leo Ijumaa Aprili 4, 2025, amesema kazi ya Jeshi…