BUNIFU NA TAFITI ZA NELSON MANDELA KUPATA SOKO USWISI
Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Prof. Maulilio Kipanyula ( kulia) akimkabidhi zawadi Balozi wa Uswisi nchini Mhe. Nicole Providoli ( kushoto) mara baada ya ziara ya kikazi. ….. TAASISI ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela kushirikiana na Serikali ya Uswisi katika kufanya utafiti na…