ZRA yakusanya Sh238 bilioni ikivuka lengo makusanyo robo ya tatu
Unguja. Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) kwa kipindi cha robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2024/25, imekusanya Sh238.746 bilioni, sawa na ufanisi wa asilimia 100.06 wa makadirio ya kodi kwa kipindi hicho ambayo yalikuwa ni Sh238.611 bilioni. Taarifa iliyotolewa jana Aprili 3, 2025 kwa vyombo vya habari na Kamishna Mkuu wa mamlaka hiyo, Said…