
ELIMU YA GESI ASILIA KWENYE MAGARI YAWAVUTIA WENGI MAONESHO YA WIKI YA USALAMA MAHALA PA KAZI, SINGIDA.
Katika kuadhimisha Wiki ya Usalama Mahala pa Kazi, kampuni ya GASCO imeendelea kutoa elimu kwa jamii juu ya matumizi salama na nafuu ya gesi asilia, hasa kwenye vyombo vya moto. Katika banda la GASCO, wananchi walijitokeza kwa wingi kujifunza zaidi kuhusu teknolojia ya kutumia Gesi Asilia iliyoshindiliwa (CNG) kama mbadala wa mafuta ya petroli na…