Mjumbe wa UN anahimiza msaada wa kimataifa kwa Afrika Magharibi na Sahel – Maswala ya Ulimwenguni

Leonardo Santos Simão aliangazia kiwango cha shida inayoathiri sehemu za Sahel, ambapo vikundi vya kigaidi vinaendelea kusababisha shida, haswa katika Bonde la Ziwa la Chad linalojumuisha Cameroon, Chad, Niger na Nigeria. Bwana Simão, ambaye anaongoza Ofisi ya UN kwa Afrika Magharibi na Sahel (Unowas), alishuhudia athari wakati wa ziara ya hivi karibuni katika mji wa…

Read More

Matumizi ya fedha hizi Tanzania mwisho kesho

Dar es Salaam. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema mwisho wa kutumia matoleo ya fedha ilizoziainisha (pichani) ni kesho Jumamosi Aprili 5, 2025 huku ikitoa angalizo kuwa baada ya hapo hazitatambulika tena. “Hatua ya ubadilishwaji wa noti za zamani ilianza Januari 6, 2025 itamalizika Aprili 5, 2025 ambapo matumizi ya noti hizo yatafikia ukomo wa…

Read More

Siri ya kuishi maisha marefu

Mwanza. Wataalamu wa afya, lishe na mazingira wametaja ulaji wa chakula kinachofaa, kudhibiti msongo wa mawazo, kufanya uchunguzi wa afya ya mwili mara kwa mara, mazoezi na kutunza mazingira,  ni miongoni mwa siri za mtu kuishi maisha marefu. Kwa mujibu wa ripoti ya Makadirio ya Taifa ya Idadi ya Watu nchini iliyotolewa na Ofisi ya…

Read More

Muhimu wenye kisukari kuzijua taasisi hizi

Kisukari aina ya kwanza ni changamoto kubwa kwa watoto na vijana wengi duniani.  Mara nyingi, wenye aina ya kwanza ya kisukari wanakabiliana na changamoto za gharama za matibabu, uhaba wa insulini, ukosefu wa elimu sahihi kuhusu ugonjwa huu, na unyanyapaa wa kijamii. Taasisi kama T1 International na Sonia Nabeta zimejitokeza kama msaada muhimu kwa watoto…

Read More

Udanganyifu waikoroga NHIF, vituo vya afya -1

Dar es Salaam. Wakati baadhi ya vituo vya afya vikilalamika kucheleweshewa malipo na mengine kukataliwa hivyo kushindwa kujiendesha, Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umesema unalipa madai yaliyo halali kwa wakati. Miongoni mwa vituo vya afya vinalalamika kucheleweshewa malipo kwa hadi miezi sita kutokana na hoja za kihasibu na madai ya kuwapo udanganyifu,…

Read More

UCHAGUZI 2025: Dk Nchimbi: Chadema wasilazimishwe, Lissu naomba kura yako

Songea. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amewataka wanachama wa chama hicho na wadau wengine wa siasa kutokilazimisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kushiriki uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 2025. Dk Nchimbi amesema kwa mujibu wa sheria za nchi chama cha siasa kina uhuru wa kushiriki au kutoshiriki uchaguzi huku akisisitiza,”hakuna…

Read More

Mang’ombe akataa unyonge Tabora United

Kocha Mkuu wa Tabora United, Genesis Mang’ombe amesema hatakubali kuwa mnyonge na kuruhusu kikosi chake kucheza mchezo wa nne bila kupata ushindi huku akitaja mambo yaliyowaangusha kwenye mechi zilizopita. Mang’ombe raia wa Zimbabwe ambaye amerithi mikoba ya Mkongomani, Anicet Kiazmak aliyeiongoza Tabora United katika mechi 14 na kushinda nane, sare tano na kupoteza moja, tayari…

Read More

SERIKALI YAZINDUA KANUNI ZA URUTUBISHAJI VYAKULA KUPAMBANA NA UDUMAVU NCHINI.

 Serikali kupitia Wizara ya Viwanda na Biashara imezindua rasmi kanuni za uongezaji virutubishi katika vyakula hatua inayolenga kuboresha afya na lishe ya Watanzania.  Akizungumza wakati wa uzinduzi huo aliyekua mgeni rasmi Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Silaoneka  Kigahe (Mb) amesema dhamira ya serikali ni kuhakikisha kila Mtanzania anapata chakula chenye virutubishi muhimu kwa…

Read More

MBINU SHIRIKISHI NI MUHIMU KUHAKIKISHA WATU WENYE ULEMAVU WANAJUMUISHWA KATIKA NYANJA ZOTE– MHE. NDERIANANGA

NA. MWANDISHI WETU BERLIN – UJERUMANI Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, na Uratibu, Mheshimiwa Ummy Nderiananga amesema ni muhimu kuwa na mbinu shirikishi ili kuhakikisha watu wenye ulemavu wanajumuishwa kikamilifu katika juhudi za maendeleo kitaifa na kimataifa. Mhe. Ummy amesema hayo aliposhiriki katika mjadala wa: Kuelekea Hatua Jumuishi…

Read More