Kwa KenGold ngoja tuone | Mwanaspoti
LICHA ya KenGold kuendelea kuwa kwenye hatari ya kushuka daraja haijawa ishu kwa kiungo Zawadi Mauya anayeamini bado timu hiyo ina nafasi kubwa ya kusalia Ligi Kuu. Mauya amesema kinachotakiwa kwa sasa wao kama wachezaji kuongeza umakini katika kusaka ushindi kwenye mechi zilizosalia. Timu hiyo ambayo jana ilicheza dhidi ya Azam kwenye Uwanja wa Sokoine…