Matano awaweka kikao mabeki Fountain Gate
KOCHA Mkuu wa Fountain Gate, Robert Matano amesema kipigo ilichokipata timu hiyo na kupoteza kwa mabao 3-0 dhidi ya Singida Black Stars kinaendelea kuiweka kwenye hali mbaya safu yake ya ulinzi kutokana na kukosa umakini na kuruhusu mabao mengi msimu huu huku akipanga kukaa chini na safu hiyo kutaka kufahamu shida ipo wapi. Fountain Gate…