
Sillah, Saadun wailiza KenGold, Taoussi achekelea
Harakati za kujinasua mkiani kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara zimeendelea kuwa ngumu kwa KenGold baada ya kukumbana na kipigo cha mabao 2-0 dhidi ya Azam FC. Katika mchezo wa leo Aprili 3, 2025 uliopigwa Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, licha ya hali ya hewa kutokuwa nzuri sana kutokana na mvua iliyonyesha, lakini wenyeji walikubali…