
Simba yapewa mwamuzi mwenye rekodi zake
KATIKA hesabu za Simba kuhakikisha inachanga vizuri karata zake na kufuzu nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, inatakiwa kuwa makini na mwamuzi wa mchezo wao wa marudiano kutokana na rekodi zake zilivyo. Simba ambayo Aprili 9 mwaka huu itakuwa mwenyeji wa Al Masry katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya…