
AKILI ZA KIJIWENI: Malale Hamsini ameokota dodo PALE Mbeya City
KUNA watu wana bahati zao duniani na mfano wa hao ni kocha Malale Hamsini ambaye hivi karibuni alijiunga na Mbeya City kuwa kocha mkuu. Tangu alipoachana na JKT Tanzania mwaka jana, alikuwa zake mapumzikoni na baada ya miezi mingi kupita, ameibukia kwa Wana Komakumwanya wa Mbeya ambao wanashiriki Ligi ya Championship. Malale amejiunga na Mbeya…