
Tanzania 19 yaifunga Uganda Kriketi
Tanzania imeanza vyema mbio za kusaka tiketi ya kucheza Kombe la Dunia kwa vijana wa chini ya miaka 19 baada ya kuifunga Uganda kwa mikimbio 73 katika mchezo uliopigwa jijini Lagos, Nigeria siku ya Jumapili. Ari na kujituma katika mazoezi yaliyowachukua miezi mitatu ndiyo kiini cha vijana wa Kitanzania kushinda mchezo huu. Tanzania ndiyo walioanza…