
Waliopigana Vita ya Kagera walishalipwa, wakarudishwa makwao
Dodoma. Serikali imetangaza kuwa wapiganaji wa Vita ya Kagera na Uganda ambao hawakujiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), walilipwa kifuta jasho Sh5,000 na kupewa asante na Mwalimu Julius Nyerere (Rais wa Tanzania wa wakati huo) na kurejeshwa makwao. Kaili hiyo imetolea bungeni leo Jumatatu Aprili 28, 2025 na Waziri wa Ulinzi…