
TUSUBIRI MAAJABU YA MEZA KUPINDULIWA LUPASO
KLABU ya Simba imeshindwa kutamba ugenini katika hatua ya robo fainali mkondo wa kwanza dhidi ya Al Masry ya nchini Misri baada ya kupokea kipigo cha mabao 2-0 katika mchezo ambao ulipigwa katika dimba la Suez nchini humo. Katika mchezo huo licha ya kuutawala mchezo kwa kiwango kikubwa, Simba haikufanikiwa kupata bao katika nafasi…