Tamisemi yawaita wahitimu wanaotaka kubadilisha tahasusi

Dodoma. Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa ametangaza kuwa zoezi la kubadilisha tahasusi (combination) kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha nne na vyuo litaanza rasmi Machi 31, mwaka 2025 hadi Aprili, 30, mwaka 2025. Mbali na hilo, amesema baada ya matokeo ya kujiunga na kidato…

Read More

Jumapili ya Kitajiri na Meridianbet Hii Hapa

WAJANJA wa odds kubwa Tanzania, Meridianbet wanakwambia hivi Jumapili ya leo ndio siku nzuri kwa wewe kuondoka na kitita cha pesa kwani mechi zipo nyingi zinazopigwa. Unangoja nini? Ingia Meridianbet na ubashiri hapa. LALIGA leo hii kuna mechi za pesa ambapo Barcelona baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo hii atakipiga dhidi ya Girona ambao…

Read More

MPANGO : KAFICHUENI UBADHIRIFU KWENYE MIRADI BILA WOGA

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Alhaji Abubakari Kunenge akiwa ameshika Mwenge wa Uhuri Ulinzinduliwa leo kwenye Viwanja vya Shirika la Elimu Kibaha Mkoani Pwani. Na Khadija Kalili, Michuzi TV MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango amewaasa wakimbizaji wa Mwenge wa Uhuru 2025 kukagua miradi yote kwa kuzingatia…

Read More

Chilunda atupia mbili KMC iking’ara nyumbani

KMC imeondoka na pointi tatu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons ikiitandika mabao 3-2 kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar. Mchezo huo uliopigwa saa 10:15 jioni ya leo, ilishuhudiwa mshambuliaji wa KMC, Shaban Idd Chilunda akifunga mabao mawili dakika 42 kwa penati na dakika ya 67. Lingine lilifungwa na Ibrahim Ahmed…

Read More

Ni Sowah tena Singida BS ikiikaanga Fountain Gate

ACHANA na ushindi wa mabao 3-0 walioupata Singida Black Stars, ishu ni mshambuliaji wa timu hiyo, Jonathan Sowah ambaye ametupia bao lake la nane msimu huu. Katika mchezo huo wa ligi kuu uliopigwa kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa uliopo Manyara, Singida Black Stars licha ya kuwa ugenini ilitawala muda mwingi na kuwafanya msimu huu kukusanya…

Read More

MIKAKATI YAWEKWA, UZINGATIAJI WA MAHITAJI WA WENYE ULEMAVU KATIKA MABADILIKO YA TABIA NCHI DUNIANI

NA. MWANDISHI WETU , BERLIN UJERUMANI Mfuko wa Dunia wa Watu wenye Wlemavu (Global Disability Fund – GDF) umezikutanisha nchi zaidi ya 23 Mjini Berlin Nchini Ujerumani huku wakijikita katika kuzungumzia masuala yanayohusu Watu Wenye Ulemavu katika nyaja mbalimbali ikiwemo Elimu, Mabadiliko ya Tabia Nchi, Uchumi, kukabiliana na kurejesha hali wakati wa maafa pamoja na …

Read More