
Pamba mambo bado, yalazimishwa sare na Namungo nyumbani
Safari ya Pamba Jiji kutoka nafasi za chini na kusogea juu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara bado haijawa rahisi, kwani leo imeshindwa kufurukuta nyumbani katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza baada ya kulazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Namungo FC. Pamba Jiji imepata matokeo hayo leo Aprili 3, 2025 katika mchezo wa…