
Raia watatu wa Marekani wafutiwa hukumu ya kifo DRC, yumo mtoto wa Malanga
Kinshasa. Mahakama nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imebatilisha hukumu ya kifo waliyopewa raia watatu wa Marekani kwa makosa ya jinai, ugaidi na kujaribu kuipindua serikali ya nchi hiyo. Shirika la Habari la Reuters, limeripoti leo Aprili 2,2025, kuwa taarifa ya Ikulu ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imeeleza watatu hao sasa hawatotumikia…