
Ilikojificha siri ya mageuzi kisiasa
Dar es Salaam. Mageuzi ya mfumo wa kisiasa yatakayohusisha mabadiliko ya kisheria, sera na Katiba kwa ujumla wake, limekuwa hitaji la muda mrefu kwa baadhi ya wadau wa siasa na vyama vya upinzani. Mitazamo ya vyama vya upinzani ni kuwa, mabadiliko hayo yatatoa uwanja sawa wa mapambano katika chaguzi na hivyo, kuwa turufu ya ushindi…