
Sakata la Dabi: CAS kunaunguruma, kesi ya msingi ipo
MAHAKAMA ya Kimataifa ya Usuluhishi ya Michezo CAS imeanza kufanya mambo yake ikiwasiliana rasmi na wahusika wakuu kesi ya klabu ya Yanga iliyofungua shtaka ikipinga pamoja na mambo mengine kuahirishwa kwa dabi ya Kariakoo Machi 8. Kikanuni mawasiliano hayo yanamaanisha kuna kesi ya msingi baada ya kuiridhidha CAS na ndio sababu ya kuwasiliana na watajwa…