
Watendaji wachochezi waonywa Babati | Mwananchi
Babati. Watendaji wa vijiji na Kata wa Wilaya ya Babati mkoani Manyara, wanaokiuka taratibu za kisheria katika masuala ya ardhi na kusababisha kuchochea migogoro ya ardhi isiyokuwa ya lazima wameonywa kuchukuliwa hatua kali. Mkuu wa Wilaya ya Babati, Emmanuela Kaganda ametoa onyo hilo Aprili mosi mwaka 2025 kwenye Kata ya Ufana wakati akiwa kwenye ziara…