
Adha ya mvua nchini, daraja lafungwa
Simiyu/Mikoani. Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini zimesababisha madhara kwenye daraja wilayani Maswa mkoani Simiyu. Hayo yakitokea, katika maeneo mengine nchini wananchi wametakiwa kutorejea maeneo hatarishi, huku viongozi wakijizatiti kutoa elimu kwa umma ili kudhibiti maafa. Wilayani Maswa mkoani Simiyu mvua imesababisha daraja kufungwa katika Kijiji cha Bugarama, kwenye Mto Nyamli kutokana na kuwa hatarini…