MNGEZA B BINGWA WA ERASTO CUP MUHEZA,HALMASHAURI KUWAUNGA MKONO MADIWANI WATAKAOANZISHA LIGI KWENYE MAENEO YAO
Na Oscar Assenga,MUHEZA. HALMASHAURI ya wilaya ya Muheza Mkoani Tanga imesema kwamba itaendelea kuwaunga mkono madiwani ambao watakaoanzisha Ligi mbalimbali katika maeneo yao kwa lengo la kuhamasisha michezo na kufungua fursa za ajira kupitia sekta hiyo.Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Muheza Issa Msumari wakati Fainali ya Ligi ya Erasto…